TIRA yashiriki CEO’s Forum 2026 Arusha Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) inashiriki Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaj... 28 Sep 26
press_release

TIRA yashiriki CEO’s Forum 2026 Arusha Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) inashiriki Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaj... 28 Sep 26

Tanzania·Wire Summary⏱️ 1 min read

Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) inashiriki Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma (CEO’s Forum 2026), kinachofanyika leo Septemba 28, 2026 katika Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Arusha (AICC) jijini humo. Kamishna wa Bima, Dkt. Baghayo A. Saqware, anashiriki katika kikao hicho kinachowakutanisha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali yanayohusu uendeshaji, usimamizi na maendeleo ya taasisi za umma na ujumuishwaji wa wananchi katika maendeleo katika Utekelezaji wa Dira 2050. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius John Ndejembi, anatarajiwa kufungua rasmi kikao hicho kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.ikao hicho kinatarajiwa kuwakutanisha wawakilishi kutoka takribani Mashirika ya Umma 300 pamoja na washiriki zaidi ya 700. TIRA, Kwa Soko Salama la Bima

Get Deeper AI analysis

How does this affect you?

Get an AI analysis of this article grounded in your jurisdictions, practice areas, and any policy documents you've uploaded to Wansom.

Finish Reading the Full Story and the Expert Analysis.

Get the latest legal & regulatory intelligence in Tanzania

Instant access to full analysis, cited statutes & expert commentary
Customize your dashboard to track what matters to your business operations

Already have an account? Log in

Wansom is AI and can make mistakes.